Polisi Wapekua Nyumbani kwa Zitto Kabwe

NancyTheDreamtz
Polisi Wapekua Nyumbani kwa Zitto Kabwe
Polisi wamefanya upekuzi nyumbani kwa mbunge wa Kigoma Mjini (ACT-Wazalendo), Zitto Kabwe  na kumrudisha katika kituo cha Oysterbay kutoka Kituo Kikuu

Wakili wa Mbunge Huyo Jebra Kambole amesema polisi wamefika nyumbani kwa mteja wake Maeneo ya Masaki Jijini Dar es Salaam na Kufanya upekuzi.

Kambole ameeleza kuwa baada ya kukamatwa alipelekwa oysterbey polisi ambapo baadaye alihamishiwa kituo kikubwa cha polisi na hakulala hapo alihamishiwa kituo cha mburahati.

Comments

Popular posts from this blog

UCHAGUZI KENYA: Mchezaji wa zamani wa Inter Milan, McDonald Mariga kutoana jasho na Prezzo

Siri Yafichuka, Prince Dube Anakwenda Yanga Kuziba Nafasi ya Fiston Mayele