Mbowe Apelekwa Nje ya Nchi kwa Matibabu

NancyTheDreamtz
Mbowe apelekwa nje ya nchi kwa matibabu
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeelezwa kuwa mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe ameshindwa kufika mahakamani kwa kuwa amesafirishwa kwenda nje ya nchi kwa ajili ya matibabu.

Akiieleza mahakama mdhamini wa mbowe amedaiwa kuwa ameelezwa na mke wa Mbowe kuwa anasumbuliwa na tatizo la moyo na shinikizo la damu.

Kufuatia maelezo hayo wakili wa serikali ameiomba mahakama kutoa amri ya kumkamata mbowe ili ajieleze kwa nini dhamana aliyopewa na mahakama kwanini isifutwe kwa kushindwa kufika mahakamani

Comments

Popular posts from this blog

UCHAGUZI KENYA: Mchezaji wa zamani wa Inter Milan, McDonald Mariga kutoana jasho na Prezzo

Siri Yafichuka, Prince Dube Anakwenda Yanga Kuziba Nafasi ya Fiston Mayele