Posts

Siri Yafichuka, Prince Dube Anakwenda Yanga Kuziba Nafasi ya Fiston Mayele

Siri Yafichuka, Prince Dube Anakwenda Yanga Kuziba Nafasi ya Fiston Mayele YANGA wanahitaji sana duma ya mshambuliaji wa Azam FC, Prince Dube. Wanaamini Dube anaweza kuwa mtu sahihi wa kuziba nafasi ya Fiston Mayele. Inaaminika kwamba Yanga wamekuwa wakihangaika kumshawishi mchezaji huyo kwa muda mrefu kutua katika kikosi hicho kutokana na uwezo wake. . Hivi karibuni wakati Azam FC ikiwa mikoani kwa mechi za Ligi Kuu, Dube alionekana kwenye Uwanja wa Mkapa akishuhudia mechi ya Yanga ambapo ilishinda mabao 4-0 dhidi ya CR Belouizdad. Dube hakusafiri na Azam kwa sababu ni majeruhi ambapo amekosa michezo kadhaa hadi sasa. . Nyota huyo hajacheza mechi ya Azam FC tangu Februari 19 alipoingia kipindi cha pili dhidi ya Tabora United. Hakusafiri na timu katika mechi mbili za mikoani Mbeya dhidi ya Prisons na Mwanza dhidi ya Singida. Lakini ARENA ltuajua kwa kawaida Azam FC husafiri na wachezaji wake hata kama ni majeruhi kama sehemu ya kujenga umoja. Hata hivyo Dube hakusafiri ikisemekana ali...

PAUL Makonda "Dhuluma Ikimekidhiri Kwenye Ardhi, Tunafurahishwa na Ajicho Kifanya Jerry Slaa"

PAUL Makonda "Dhuluma Ikimekidhiri Kwenye Ardhi, Tunafurahishwa na Ajicho Kifanya Jerry Slaa" Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, Paul Makonda amesema kwa kiwango kikubwa dhuluma imekithiri Nchini na Watanzania wengi wameumizwa na dhuluma hususani katika sekta ya ardhi ambako imekithiri zaidi. Akiongea na Waandishi wa Habari leo Dar es salaam, Makonda amesema ———> “Dhuluma hii imegawanyika katika maeneo mengi au imegawanyika kwenye sekta nyingi na kama Chama tunao wajibu wa kuweka mkazo kwa kuisimamia na kuielekeza Serikali ili ipambane na dhuluma zinazowatesa na kuwaumiza Wananchi hasa walio wanyonge” “Ipo dhuluma kubwa sana kwenye sekta ya ardhi, huko kumekithiri, kilio cha Watu kunyang’anywa maeneo yao na wenye nguvu ya fedha imetawala, kilio cha Watu kupewa nyaraka au hati feki kimetawala na katika eneo hili tulitoa maelekezo mahususi tarehe 19 February 2024, kama Idara ya Itikadi na Mafunzo tunatiwa moyo na jitihada zinazochukuliwa na Waziri ...

Hiki Hapa Kikosi Cha Wananchi Kinachokwea Pipa Kuelekea Algeria

KIKOSI cha Wananchi, Young Africans SC kinachokwea pipa kuelekea Algeria kwa ajili ya mchezo wa marudiano wa fainali ya kombe la shirikisho Afrika dhidi ya USM Alger utakaopigwa Juni 3, 2023. nyandichethedreamtz

Kocha Wa Manchester City Pep Guardiola Atwaa Tuzo Ya Kocha Bora Wa Mwaka Wa LMA

Kocha wa Manchester City Pep Guardiola. Kocha wa Manchester City Pep Guardiola amechaguliwa kuwa kocha bora wa mwaka na Chama cha makocha wa Ligi. Hii ni mara ya tatu kwa Guardiola kutwaa Tuzo hiyo inayoitwa ‘Sir Alex Ferguson Award’, iinayopigiwa kura na mameneja ama makocha wa madaraja yote ya ligi nchini England. Mhispania huyo, 52, pia alishinda tuzo ya kocha ama meneja bora wa mwaka wa ligi kuu England baada ya timu yake kunyakua taji la tatu mfululizo na la tano katika misimu sita. Kocha wa Chelsea, Emma Hayes alishinda kwa upande wa Ligi ya Wanawake ya Super League. Ilikuwa tuzo yake ya nne mfululizo na ya sita kwa jumla. Guardiola amekuwa meneja wa tatu kushinda tuzo tatu au zaidi za kocha bora wa mwaka wa LMA, sawa na David Moyes, lakini bado yuko ya kocha wa zamani wa Manchester United Sir Alex Ferguson mwenye tuzo 5. City watamenyana na Manchester United katika fainali ya Kombe la FA Jumamosi. Ushindi katika mechi hiyo unaweza kuipa nafasi ya City kushinda makombe matatu...

#Exclusive Video: Jokate Afichua Ya Ujauzito Wake, Mtoto Aliyemuokota – ”Ningeweza Kujificha”…

Mkuu Wa Wilaya ya Korogwe, Jokate Mwegelo ameweka wazi kuwa anafurahishwa na kitendo cha yeye kuitwa mama kwani ni steji aliyokuwa akiiogopa sana, ila kwa sasa anaongozwa na neno la Mungu na hivyo hana wasiwasi kwani yupo wa kumshindia katika maisha yake. Aidha Jokate ameongeza kuwa suala la yeye kuwa mama au wamama wengine kote duniani ni jambo la kumshukuru Mungu kwani daktari wake mmoja alimueleza kuwa kwa siku moja watu takribani 30 hufika hosptali kutafuta watoto. nyandichethedreamtz

Martha Mwaipaja – UNASEMA NINI (Official Video)

Muimbaji wa Nyimbo za Injili hapa nchini Martha Mwaipaja, Ameachia ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina la-Unasema Nini. nyandichethedreamtz

Real Madrid Na Man United Zaongoza Orodha Ya Klabu Zenye Thamani Zaidi Duniani

Manchester United ndio klabu yenye thamani kubwa zaidi katika ligi ya Premier, kulingana na orodha iliyotolewa na tovuti ya biashara ya Forbes Jumatano. United, yenye thamani ya $6bn (£4.8bn), ni ya pili kwenye orodha nyuma ya Real Madrid ya Uhispania $6.07bn – mara ya kwanza klabu mbili kuwa juu ya $6bn. Liverpool, Manchester City, Chelsea, Tottenham Hotspur na Arsenal pia wameingia 10 bora. Thamani ya Forbes kwa Manchester United imeongezeka kwa 30% tangu mwaka jana. Klabu hiyo ya Old Trafford iliuzwa na familia ya Glazer mwezi Novemba, huku benki ya Qatar Sheikh Jassim bin Hamad Al Thani na Ineos Group ya Sir Jim Ratcliffe wakiwasilisha ombi la kuinunua United. Real ilishika nafasi ya kwanza kuanzia 2022 huku ikiongeza thamani yake kwa 19%, huku wapinzani wao Barcelona wakiwa katika nafasi ya tatu wakiwa wameongoza orodha hiyo mwaka 2021. Tangu Forbes waanze kuchapisha orodha ya timu zenye thamani kubwa zaidi za kandanda duniani mwaka 2004, ni Real Madrid na Manchester Unit...

Marekani: Baraza La Wawakilishi Lapitisha Mswada Wa Kuongeza Muda Wa Serikali Kukopa Fedha

Kevin McCarthy Baraza la Wawakilishi la Marekani Jumatano liliidhinisha sheria ya kusimamisha ukomo wa kukopa kwa serikali, hadi mapema mwaka 2025, hatua inayoepusha mzozo wa kisiasa wa Washington, siku tano kabla ya nchi hiyo kufikia wakati ambapo ingekosa pesa za kulipa madeni yake. Katika kura hiyo ya Jumatano, wabunge 314 walipitisha mswada huo dhidi ya 117, walioupinga. Baada ya hapo, mswada huo sasa unaelekea kwenye baraza la Seneti ambapo utapigiwa kura kufikia mwishoni mwa wiki. Endapo utapitishwa na seneti, baraza ambalo linadhibitiwa na Wademokrat kwa wingi wa wajumbe, basi Rais Biden atautia saini na kuwa sheria. Hatua hiyo inasimamisha kiwango cha sasa cha deni la serikali la $31.4 trilioni. Wabunge wa chama cha RepubliKan wenye misimamo mikali ya mrengo wa kulia, wamekosoa makubaliano yaliyofikiwa na Rais Mdemokrat Joe Biden na Spika wa Baraza la Wawakilishi, Mrepublikan Kevin McCarthy kwa kutopunguza vya kutosha, matumizi ya serikali ya siku za usoni, huku baadhi ya ...

how to overhaul and repair developing assembly for canon ir2016/2318/2420

Image

Rais Biden Akutwa na Covid-19, Taarifa Yatikisa Ikulu ya Marekani

Joe Biden Rais wa Marekani RAIS wa Marekani Joe Biden ameripotiwa kukutwa na maambukizi ya Virusi vya Covid-19 hiyo ni kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Ikulu ya Marekani. Rais Biden alikuwa tayari ameshatumia dozi mbili za kujikinga na Covid- 19 aina ya Pfizer muda mchache kabla ya kuingia madarakani ambapo chanjo ya kwanza alichanja mwezi Septemba 2021 na ya pili alichanja mwezi Machi mwaka huu. “Asubuhi ya leo Rais Biden amekutwa na maambukizi ya virusi vya Covid-19 na amechanjwa vizuri ingawa amekumbwa na dalili za maambukizi ya virusi hivyo.” Alisema Msemaji wa Ikulu Karine Jean –Pierre. Biden aripotiwa kukutwa na maambukizi ya Virusi vya Covid-19 Kwa muda mrefu Ikulu ya Marekani imekuwa ikiendesha shughuli mbalimbali zinazohusisha mikusanyiko ya watu pasipo kuchukua tahadhari ya kujikinga na maambukizi ya Covid-19. Aidha mnamo Aprili 30, 2022 Rais Biden alihudhuria shughuli yenye mkusanyiko wa watu wengi katika Ikulu ya WhiteHouse akiwa hana tahadhari yoyote ...

Diamond Ajibu Mapigo Tuhuma za P Funk Kwa WCB, Atoa Tamko Zito

Diamond Platnumz akiwa na Rayvanny SUPASTAA wa Bongo Fleva ambaye pia ni Mkurugenzi wa lebo ya Wasafi amekanusha tuhuma za kwamba lebo yake inawanyonya wasanii kama inavyodaiwa na baadhi ya watu huku akisisitiza kuwa lebo yake ndiyo inawanyanyua wasanii wadogo kuwainua na kuwafanya kuwa wasanii wakubwa na matajiri nchini. Kauli hiyo ya Diamond inakuja ikiwa ni siku chache baada ya Prodcer mkongwe wa Bongo, P Funk Majani kudai kuwa WCB inawakadamiza na kuwadhulumu wasanii wake kwa kuwapa mikataba mibovu yenye nia ya kuwadidimiza kimuziki na kibiashara ili WCB ineemeke. Akihojiwa na DW ya nchini Ujerumani, Mondi amesema; “Muziki ni biashara, sisi katika lebo ya WCB tuliwachukua baadhi ya wasanii wakiwa katika makampuni tayari wakifanya kazini, lakini hawakuwa wakubwa, anapokuja kwetu tunawekeza, tunakifanya kile anachokifanya kiwe kikubwa na kiweze kuingiza fedha na awe mkubwa. Ndio maana wasanii wa Wasafi wanakuwa wakubwa sana. “Inapokuja biashara inakuwa kubwa wengi wa vijana wana...

Jinsi masuala ya tehama yalivyofanyika Wizara ya kilimo Dodoma na Nyandiche Technology&Security Services Tanzania Ltd

Ukizungumzia Masuala ya Tehama Tanzania unapaswa kujua kuwa kuna Vijana wanao jitambua ndani ya Nchi hasa katika kutoa huduma zifuatazo:- 1.Elactrical Fence 2.Access Control 3.Cctv Camera 4.Vehicle system 5.Data Entry in system account ackage's 6.Remote Gate 7.Graphics 8.ICT Solutions 9.Video Door Phone 10.Ld Sensor 11.Web Based Data management 12.Printer na Photocopy Repair Shughuli tajwa hapo juu ni kati ya chachu ya kimaendeleo hasa kwa Vijana Tanzania kwa ujumla kwani inatoa ajira timilifu kwa wahusika wa masuala hayo ya Tehama hapa Nchini kwasasa na kwa mfano hapo chini tunakuletea Video za Kijana ajulikanae kama Arthur Raphael Nyandiche akiwa anafanya kazi ya kutengeneza Printer za Wizara ya kilimo Dodoma Prepared by nyandichethedreamtz

Mfahamu Kiundani IGP Mpya Camilius Wambura, Mrithi wa Simon Sirro

Wote tunafahamu kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo tarehe 20 Julai, 2022 amefanya uteuzi ambapo amempandisha cheo Kamishna wa Polisi Camillus Mongoso Wambura, aliyekuwa Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI) kuwa Inspekta Jenerali na Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP akichukua nafasi ya Simon Sirro. Nimejawa na furaha kuona mtu makini ndani ya Jeshi la Polisi mwenye uzoefu na weledi anakabidhiwa majukumu makubwa ya kuliongoza Jeshi letu la Polisi. Hakika CAMILIUS WAMBURA ni mtu sahihi mno. Wengi wetu tunaofuatilia utendaji wa Jeshi la Polisi nchini tulitegemea mabadiliko kufanywa hususani katika nafasi hii muhimu ili kupatikana mtu anayeendana na kasi na dira ya serikali ya awamu ya sita. Baadhi ya nyadhifa na majukumu ndani ya Jeshi la Polisi yaliyowahi kufanywa na IGP CAMILIUS WAMBURA ni pamoja na; 1. Kamanda wa Polisi Mkoa Maalum wa Kipolisi – KINONDONI 2. Afisa Mwandamizi wa Jeshi la Polisi- Makao Makuu 3. Mkurugenzi wa Operesheni- ...

MANGE Kimambi Amlipua Salama SK Kisa P-Funk Majani, "Umefanya Nini Kwenye Muziki wa Bongo zaidi ya Majungu"?

Ameandika haya Mange Kimambi: Wasafi, Majani ana matatizo yake ila amewaambia ukweli. Na badala ya kumjibu kwa facts nyie mnaenda kwenye personal attacks zinazohusu Harmonize kumtomb** familia yake, ila kipindi kile Ommy Dimpoz alipoongelea kumtomb** Dai mamake mlikasirika sana kwasababu kaingiza mambo ya family. Mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu…. Alichosema Majani ilibidi kijibiwe kwa facts, Dai mwenyewe alisema kwa mdomo wake kuwa alibeba wimbo wa Mbosso kwenye FOA, je alimpa rights zake juu ya ule wimbo? Naongea sababu kumbukeni Wasafi mliingia mjini kwa kumchafua Ruge Mutahaba kwa kukandamiza wasaniii, haya nyie leo mnafanya nini? Mlivyoingia mjini mlibeba wasaniii woooote wa zamani ambao walikuwa hawaelewani na Clouds,kina Dudubaya sijui nani mkadai hao wasanii walipotea sababu ya Ruge, haya mliishia wapi na wale wasanii? Mbona hamko nao tena? Mlidhani kazi ya kudili na wasanii ni rahisi? Kila msanii wa wasafi akipata jina tu anasepa zake hiyo yote ni sababu ya mkataba m...

Simon Msuva "Ninawashukuru Sana Watanzania Wenzangu Niko Tayari Kuanza Upya"

Kiungo Mshambuliaji wa Tanzania Simon Msuva ametoa shukurani kwa wadau wa Soka La Bongo baada ya kukamilisha mpango wa kupata klabu mpya. Msuva amekamilisha usajili wa kujiunga na Al Qadsia ya Saudi Arabia, baada ya kumaliza kesi yake na Klabu ya Wydad Casablanca ya Morocco, iliyoendeshwa na FIFA kwa zaidi ya miezi sita. Kuungo huyo ametumia muda wake kwa kutoa ujumbe mzito wa shukurani kwa Wadau wa Soka La Bongo, kufuatia kuonyesha kuwa naye katika kipindi chote alichokuwa na matatizo. “Naomba nichukue fursa hii kusema asante. Nilipata matatizo na klabu yangu ya hapo awali Wydad Athletic na nilirudi nyumbani kupumzika huku nikiwa nasubiri hatma yangu juu ya matatizo ambayo yaliweza kutokea baina yangu na uongozi wa timu” “Nawashukuru pia Watanzania wote ambao walikuwa pamoja na mimi kwenye kipindi chote kigumu ambacho nilikuwa napitia” “Namshukuru Mama yangu na Baba yangu kwa maneno mazuri yaliweza kunitia nguvu kila niamkapo, bila kusahau familia yangu yote kwa ujumla, mara...

Hatimaye Msuva Atimkia Saudi Arabia Kujiunga na Timu ya Daraja la Pili

Winga nyota wa Tanzania Simon Msuva amekamilisha mipango ya kujiunga na timu ya daraja la pili ya AL-QADSIAH. Tayari leo amefanyiwa vipimo vya Afya na vimekwenda vyema. Msuva ambaye alivunja mkataba na miamba ya soka ya Morocco Wydad Casablanca anaanza maisha mapya ya soka Saudi Arabia. nyandichethedreamtz

Diamond athibitisha kununua Ndege binafsi Private Jet

Staa wa muziki wa Bongo Fleva na CEO wa lebo ya WCB Diamond Platnumz ameweka wazi kuwa ameshanunua Ndege yake yaani Private Jet. Akiongea na DW akiwa nchini Ujerumani Diamond amesema kuwa tayari ameshanunu Ndege ambayo aliwahi kuizungumzia miaka kadhaa sasa na pia meneja wake Sallam Sk ameweka wazi kuwa licha ya Ndege hiyo kununuliwa na Diamond pia itakuwa inatumika kukodishwa. nyandichethedreamtz

Inachekesha..Wamarekani Hawamfahamu Diamond, Wazani ni Mchezaji Mpya wa Timu yao

Baada ya Timu ya @washingtonnfl kumzawadia Jezi na kumpost @diamondplatnumz kwenye page yao ya Instagram, mashabiki wa timu hiyo wameonekana kushangazwa na mtu huyu, huku wengi wakijua ni mchezaji mpya wa timu yao. Maswali mengi yameibuka kutoka kwa mashabiki hao mfano "Who?", "Who is that?" "Can he play" "Can he Help our Team", "Serious Question who is this" Baadhi ya wabongo na waafrika wameonekana kujibu baadhi ya comments za wamarekani kwa kusema kwamba huyu ni msanii kutoka Afrika, East Africa na Wengine wakaitaja Tanzania. Kumbe wasanii wetu Usikute Show zao za marekani huwa wanahudhuria wabongo tu labda na wakenya wa huko, maana hili jambo limeonesha wazi kuwa wasanii kutoka Tanzania hawafahamiki, yani wanajua mchezaji mpya kasajiliwa nyandichethedreamtz

Miquissone “Simba ilinipa jina kubwa katika soka Afrika"

“Simba ilinipa jina kubwa katika soka Afrika, hapo kabla sikucheza hatua ya robo fainali klabu bingwa Afrika nimefanya hivyo nikiwa na Simba, ni heshima kubwa kwa mchezaji yeyote mwenye kiu ya mafanikio” 🗣“Simba Sc ilinilea vyema na ninaamini ipo siku nitarejea kama itakuwa sehemu ya mipango ya Mungu” nyandichethedreamtz

Kilichomuondoa Antonio Nugaz Yanga Huenda ni Hichi

"Wakati naingia Young Africans niliwaambia viongozi msije mkamfukuza mtu yeyote, Mkifanya hivyo itaonekana Mimi ndio nimehusika katika hilo. "Kile alichokifanya Nugaz kunitusi bila sababu inawezekana kabisa kuwa ndicho kilichomuondoa Nugaz." "Mimi sijakukosea kitu unanitusi vipi! Nimeingia Young Africans Siku ya pili tu unanitusi bila sababu, sijawahi kukuosea!" - Haji Manara, Msemaji wa Young Africans nyandichethedreamtz