Jinsi masuala ya tehama yalivyofanyika Wizara ya kilimo Dodoma na Nyandiche Technology&Security Services Tanzania Ltd

Ukizungumzia Masuala ya Tehama Tanzania unapaswa kujua kuwa kuna Vijana wanao jitambua ndani ya Nchi hasa katika kutoa huduma zifuatazo:- 1.Elactrical Fence 2.Access Control 3.Cctv Camera 4.Vehicle system 5.Data Entry in system account ackage's 6.Remote Gate 7.Graphics 8.ICT Solutions 9.Video Door Phone 10.Ld Sensor 11.Web Based Data management 12.Printer na Photocopy Repair Shughuli tajwa hapo juu ni kati ya chachu ya kimaendeleo hasa kwa Vijana Tanzania kwa ujumla kwani inatoa ajira timilifu kwa wahusika wa masuala hayo ya Tehama hapa Nchini kwasasa na kwa mfano hapo chini tunakuletea Video za Kijana ajulikanae kama Arthur Raphael Nyandiche akiwa anafanya kazi ya kutengeneza Printer za Wizara ya kilimo Dodoma Prepared by
nyandichethedreamtz

Comments

Popular posts from this blog

UCHAGUZI KENYA: Mchezaji wa zamani wa Inter Milan, McDonald Mariga kutoana jasho na Prezzo

Siri Yafichuka, Prince Dube Anakwenda Yanga Kuziba Nafasi ya Fiston Mayele