UMAWEZA NI TAASISI YENYE MALENGO BORA VISIWANI ZANZIBAR

  UMAWEZA ni Taasisi bora inayopigania Maendeleo ya watu wa visiwani Zanzibar ambayo imeanzishwa mwaka 2019 chini ya uimara na malengo bora kutoka kwa Viongozi wake na kufanikiwa kusajiliwa mwaka 2020 Visiwani Zanzibar na kuthibisha hilo Taasisi imeweza kufanya au kushiriki katika Maonyesho ya Nanenane Visiwa Zanzibar .Kama hilo halitoshi umaweza ina vipaumbele vyake kama vile (Kutoa elimu bora ya sayansi na Tekinolojia visiwani Zanzibar,Kutoa Elimu ya utumiaji mbaya kwa vijana  juu ya utumiaji wa madawa ya kulevya,kuondoa matatizo ya maji kwa jamii ya Visiwani Zanzibar,Kuboresha taaluma ya sayansi Mashuleni,Kujenga Maabara na Makitaba za sayansi Visiwani Zanzibar,Kuwapa elimu ya vitendo wakina mama juu ya tekinolojia ya Kompyuta Visiwani Zanzibar .  Sasa basi kupitia malengo hayo baadhi inaonyesha UMAWEZA itakuwa chachu ya maendeleo visiwani Zanzibar pia juhudi na maarifa ya uongozi husika unafanya taasisi kufanya maandalizi mazuri ya mpango kazi ambao imeadhimia kutekeleza     
                             NancyTheDreamtz

Comments

Popular posts from this blog

UCHAGUZI KENYA: Mchezaji wa zamani wa Inter Milan, McDonald Mariga kutoana jasho na Prezzo

Siri Yafichuka, Prince Dube Anakwenda Yanga Kuziba Nafasi ya Fiston Mayele