Skip to main content

Alikiba aweka historia Mtwara afanya show ya kiutu uzima zaidi, taa zazimwa mashabiki watumia simu zao (+Video)

Moja ya Show kubwa kufanyika katika kipindi hiki baada ya Corona kupungua Tanzania ni hii ya CEO wa @kingsmusicrecords @officialalikiba Katika show hiyo ambayo ikifanyika katika uwanja wa Nangwanda Sijaona mjini Mtwara @officialalikiba ameweza kufanya show kubwa sana.

Baada ya Show hiyo @officialalikiba anatarajiwa kurejea DSM mapema leo kwani kuna mchezo wa #NIFUATE yaani Teamkiba na TeamSamatta ambao utachezwa uwanja wa Mkapa. Pia Tatehe 14/8/2020 anatarajiwa kuelekea Kigoma kwa ajili ya show yake.

 


NancyTheDreamtz

Comments

Popular posts from this blog

Siri Yafichuka, Prince Dube Anakwenda Yanga Kuziba Nafasi ya Fiston Mayele

Top Ten ya Makabila Yaliyotoa Wasomi Wengi Nchini Tanzania

Jacqueline Wolper Atamani Kutoka Kimapenzi na Rais