Skip to main content

Rich Mavoko afunguka kuruhusiwa kuzitumia nyimbo zake na lebo ya Diamond WCB, hata akaunti ya Youtube ya kwangu (+Video)

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva Rich mavoko amefunguka kuhusu kuzitumia ngoma alizofanya akiwa bado yupo chini ya Diamond Platnumzkatika lebo ya WCB, Rich ameweka wazi kuhusu kuzitumia nyimbo hizo na kumiliki akaunti mbili za Youtube yaani ile ya Rich Mavoko na Bilionea Kid.

Msikilize Rich Mavoko kwa ufasa.

NancyTheDreamtz

Comments

Popular posts from this blog

UCHAGUZI KENYA: Mchezaji wa zamani wa Inter Milan, McDonald Mariga kutoana jasho na Prezzo

Siri Yafichuka, Prince Dube Anakwenda Yanga Kuziba Nafasi ya Fiston Mayele