Wasanii wa Kings Music ya Alikiba waja na kitu kipya, warembo kama wote kwenye video
NancyTheDreamtz
Wasanii wa Kundi la Kings Music la muimbaji Alikiba, Jumamosi hii wameachia kazi mpya ambayo imepokelewa kwa shangwe na mashabiki wengi wa muziki. Ndani ya kazi hiyo Alikiba hajaimba licha ya kuonekana huku wasanii wanaounda kundi hilo kila akionekana kumkazia mwenzake.
Comments