Rayvanny: Kushindana na Diamond ni ngumu, kila siku na kitu kipya kikubwa (Video)
NancyTheDreamtz
Msanii wa muziki kutoka label ya WCB, Rayvanny amefunguka kwa kudai kwamba ni ngumu sana kushindana na bosi wake Diamond Platnumz kwenye muziki kwani ni msanii ambaye anafanya mambo mapya ya kushangaza kila kukicha. Muimbaji huyo ameiambia Bongo5 kwa sasa yeye anaendelea kujifunza mambo mengi kutoka kwa Rais huyo wa WCB.
Comments