Gigy Money afunguka alivyomtwanga ngumi mwanaume baada ya kushikwa sehemu nyeti (Video)
NancyTheDreamtz
Video Vixen Gigy Money amefunguka kukizungumzia kipande cha video ambacho kilikuwa kinamuonyesha akimtwanga ngumi mwanaume sehemu za siri. Muimbaji huyo ambaye alikuwa mmoja kati ya wasanii waliofanya show kwenye tamasha la Wasafi Festival Iringa, ameiambia Bongo5 kwamba ni kweli alimtwanga ngumi mwanaume huyo baada ya kushikwa sehemu zake nyeti bila ridhaa yake.
Comments