Hamonize, Wolper Mapenzi Kama Yote Ampigia Magoti Wolper Stejini
NancyTheDreamtz
HARMONIZE alivyompigia WOLPER magoti Stejini, MAUNO Kama yoteee!! Ni usiku Wa Wasafi Festival mkoani Iringa kwenye kiwanja cha Samora ambapo limeangushwa bonge moja LA burudani kutoka kwa wasanii mbalimbali Wa Wcb na wengine wengi akiwemo Linah, Dudu Baya, Gigy Money, Country BOy. Ilipofika zamu ya Mmakonde Harmonize, Anafanya surprise kwa kumuita ‘X’ wake mbongo movie, Jacqueline Wolper, na Kisha kucheza nae Hali iliyozua shangwe LA kufa mtu kwa wana iringaa. Baada ya Iringa tamasha LA Wasafi Festival litahamia Morogoro ambapo burudani itaangushwa usiku WA Disemba 02, katika uwanja WA Jamhuri kwa kiingilio cha elfu kumi tu.
Comments