CAF Wametangaza Wanaowania Tuzo ya Mchezaji Bora Afrika 2018, Mbwana Samatta Je?
NancyTheDreamtz
Shirikisho la soka Afrika CAF leo limetangaza majina 34 ya wachezaji wanaowania tuzo ya mchezaji bora wa Afrika kwa mwaka 2018, majina hayo yametajwa lakini kwa mara ya kwanza baada ya miaka miwili mfululizo mtanzania Mbwana Samatta anayecheza club ya KRC Genk ya Ubelgiji, jina lake halipo.
Samatta ambaye ni mshindi wa tuzo ya mchezaji bora Afrika kwa mwaka 2015 kwa wachezaji wanaocheza Ligi za ndani ya Afrika, kwa miaka miwili iliyopita jina lake lilibahatika kuingia katika 30 bora ya wachezaji wanaowania tuzo hiyo, licha ya jina lake kuenguliwa katika hatua za awali.
FULL LIST YA WANAOWANIA TUZO ZA CAF 2018

Comments