Zari Achafua Hali ya Hewa Instagram......Ni Baada Ya Kumwandikia Diamond Ujumbe wa Dharau na Kuwaita Wanae KIMA

NancyTheDreamtz
Leo ni siku ya kuzaliwa kwa muimbaji Diamond Platnumz, watu wake wa karibu, ndugu, marafiki na mashabiki wamekuwa wakimtumia salamu za kheri kwenye siku yake hiyo muhimu.

Ujumbe wa Zari The Bosslady ulikuwa ukisubiriwa sana mara baada ya Diamond kumuandika ujumbe mzuri sana mrembo huyo siku kadhaa zilizopita kwenye Birthday licha ya kuachana kwao.

Sasa Zari The Bosslady ametumia ukurasa wake wa Instagram na kuposti picha ya watoto wake na Diamond kisha kuandika ujumbe wa dharau; 'Happy birthday mwenye vikima vyake'.


Kwa ujumbe huo, watu wengi wamesikitishwa na kitendo cha mwanamama huyo kuwafananisha watoto wa Diamond Platnumz na mnyama KIMA. 

Comments

Popular posts from this blog

UCHAGUZI KENYA: Mchezaji wa zamani wa Inter Milan, McDonald Mariga kutoana jasho na Prezzo

Siri Yafichuka, Prince Dube Anakwenda Yanga Kuziba Nafasi ya Fiston Mayele