Alikiba aachia video ya wimbo Hela, agusia rushwa hospitalini na wanyonge kunyimwa haki

NancyTheDreamtz
Baada ya ukimya wa muda mrefu hatimaye Alikiba Jumatano hii ameachia video ya wimbo wake mpya uitwao ‘Hela’. Muimbaji huyo amezungumzia namna pesa inavyowatesa watu mbalimbali katika kupata mahitaji yao muhimu huku akitolea mfano watu wanavyokosa huduma hospitali kisa hela.



Comments

Popular posts from this blog

UCHAGUZI KENYA: Mchezaji wa zamani wa Inter Milan, McDonald Mariga kutoana jasho na Prezzo

Siri Yafichuka, Prince Dube Anakwenda Yanga Kuziba Nafasi ya Fiston Mayele