MUSIC VIDEO: Belle 9 – Take Away

NancyTheDreamtz
Belle 9 kwa mara nyingine amedondosha kichupa cha ngoma yake mpya ya Take Away, mdundo wa ngoma hii umetengenezwa na Mr T Touch na video imeongozwa na Digital Vibes & Lion Head. Enjoy!



Comments

Popular posts from this blog

Top Ten ya Makabila Yaliyotoa Wasomi Wengi Nchini Tanzania

Jeshi la Uganda lazindua kondomu zenye kibwagizo ‘Usiende nyama kwa nyama’ kuwalinda wanajeshi wake