Diamond aonyesha mjengo wake mpya siku ya birthday yake ( VIDEO)

NancyTheDreamtz
Msanii wa muziki wa kizazi kipya na C.E.O wa WCB Wasafi Diamond Platnumz ameweza kuonyesha nyumba yake mpya jioni ya leo ikiwa ni siku ake ya kuzaliwa. Msanii alikuwa kwenye show yake nchini Zambia hivyo baada ya kurejea ameweza kutumia akauti yake ya instagram kupitia insta stori kutuonyesha nyumba yake mpya akiwa na wasanii wenzake wa WCB.

Hii inaelezwa kuwa ni majibu kwa aliyekuwa mwanamke wake Zari baada ya kuposti ujumbe uliozua gumzo akiwa anamtakiwa kheri katika siku yake ya kuzaliwa,kwa kupost picha inayoonyesha watoto wake wawili Tiffa pamoja na nillan huku akiandika ” happy birthday mwenye vikima vyake” Hivyo wengi wandai kuwa hayo ndio majibu ya diamond kwa mama watoto wake wa zamani Zari.

Comments

Popular posts from this blog

Siri Yafichuka, Prince Dube Anakwenda Yanga Kuziba Nafasi ya Fiston Mayele

Top Ten ya Makabila Yaliyotoa Wasomi Wengi Nchini Tanzania

Jacqueline Wolper Atamani Kutoka Kimapenzi na Rais