Nilikataa Wema Asifanye video na ROSTAM :-Mke wa Roma

NancyTheDreamtz
Nilikataa Wema Asifanye video na ROSTAM :-Mke wa Roma
Mke wa msanii Roma  anaejulikana sana kwa jina la Mama Ivan amefunguka na kusema kuwa alikataa wazo la wasanii hao kutaka kutoa video yao ya wimbo mpya unaojulikana kama ameolewa kwa kumtumiaWema Kama video queen katika wimbo huo.

Mama Ivan mabe siku ya jana alifika katika mjengo wa Clouds Media kwa ajili ya kwenda kutambulisha wimbo mpya wa mume wake akiwa pamoja na mke mwenzake  mke wa stamina anasema kuwa kufanya hivyo haikuwa kwa ubaya.

Mama Ivan anasema kuwa wakati mume wake wanabisha na kuhusu mwanamke gani wa kumtumia katika video hiyo, wenyewe waliamua kuwa awe Wema lakini yaya alikataa kutokana na uhalisia wa wimbo kwamba inabidi mwanamke aendane na uhalisia na kuona kuwa Wema asingeweza kukaa katika nafasi hiyo.

Mke wa Roma  na Stamina wamevunja rekodi ya kwanza kwa wasanii kuonyesha kuwa hata familia zao zimekuwa zikisapoti kazi zao, kwa sababu tumekuwa tukiona wasanii wanasaidia wenyewe kwa wenyeke katika utambulisho wa nyimbo lakini ROSTAM wameamua kutumia wake zao.

Comments

Popular posts from this blog

UCHAGUZI KENYA: Mchezaji wa zamani wa Inter Milan, McDonald Mariga kutoana jasho na Prezzo

Siri Yafichuka, Prince Dube Anakwenda Yanga Kuziba Nafasi ya Fiston Mayele