Young Dee Autema Uongozi Wake...Adai Kwasasa Ana Kampuni yake


Paka Rapper Young Dee kwa mara ya kwanza amesema kuwa amefungua Kampuni yake mwenyewe ambayo itasimamia kazi zake za sanaa na ameachana na Habari za kuwapa watu wengine wasimamie kazi zake za muziki.

Exclusive Young Dee ameongeza kuwa Wiki ijayo ataachia wimbo wake mwenyewe na kwa mara ya kwanza hiyo itakuwa ndio itakuwa kazi ya kwanza kutoka kwenye Kampuni hiyo ambayo ataitambulisha rasmi kwa

Comments

Popular posts from this blog

Waziri Lugola Awaondoa Madarakani Maafisa Wa NIDA Mkoa Wa Ruvuma

UCHAGUZI KENYA: Mchezaji wa zamani wa Inter Milan, McDonald Mariga kutoana jasho na Prezzo