MUSIC AUDIO: Fid Q aachia wimbo wa dakika 7 ‘Kiberiti’ akiwa na Saida Karoli, awataja Alikiba, Gwajima, Bashite na Rayvanny

Yes! Rapper Fid Q ameachia ngoma yake mpya ya Kiberiti ambayo amemshirikisha Muimbaji Saida Karoli. Wimbo huo wenye dakika 7 ameelezea mambo mengi yanayohusu maisha ya kawaida.
Kwenye mashairi ya wimbo huo ametaja majina ya watu wengi yakiwemo Alikiba, Rayvanny na Askofu Gwajima huku Saida Karoli akipita na kiitikio (chorus ).
Mdundo wa ngoma hii umetengenezwa na Lufa kutoka Wanene Studio na mixing imefanywa na Chizan Brain.

Comments

Popular posts from this blog

Waziri Lugola Awaondoa Madarakani Maafisa Wa NIDA Mkoa Wa Ruvuma

UCHAGUZI KENYA: Mchezaji wa zamani wa Inter Milan, McDonald Mariga kutoana jasho na Prezzo