Rais Magufuli afanya uteuzi mwingine mkubwa, Kikwete ang’olewa Kibaha apelekwa Moshi (+video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amefanya uteuzi wa Wakurugenzi na Katibu Tawala mbali mbali ambapo kuna wakurugenzi wapya, waliohamishwa kazi na wale watakaopangiwa kazi nyingine.
Uteuzi huo uliotangazwa leo Agosti 13, 2018 na Balozi Kijazi umemhamisha aliyekuwa Mkurugenzi wa Kibaha kwa muda mrefu Bi. Tatu Seleman Kikwete kuwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Moshi.
Makatibu Tawala wote walioteuliwa wanatakiwa kuripoti kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Utumishi Jijini Dodoma Jumatano Tarehe 15 Agosti, 2018.

Comments

Popular posts from this blog

Waziri Lugola Awaondoa Madarakani Maafisa Wa NIDA Mkoa Wa Ruvuma

UCHAGUZI KENYA: Mchezaji wa zamani wa Inter Milan, McDonald Mariga kutoana jasho na Prezzo