Nancy Arthur Nyandiche Mtoto wakike Ambae amejipanga Vilivyo kuweza kukabiliana na masomo ya tekinolojia ya kompyuta

Amezaliwa miaka mitano iliyopita Baba yake mzazi Anaitwa Arthur Raphael Nyandiche ndie role Model wake katika fani ya kompyuta ambae anamfanya awe mmoja kati ya mabinti wanaotamani kuwa na taaluma ya computer science hapo baadae nakwakufanya hayo sasa nancy ameweza kumiliki wavuti yake ambayo anaweza kusambaza habari mbalimbali kwa wateja wake pia ameadhimia kufanya biashara kwanjia ya mtandao huyo ndiye Nancy Arthur Nyandiche Mtoto ambae anatamani kutimiza ndoto zake kwakuanzia mikoa ya kusini akiwa na miaka michache leo anaendesha wavuti yake kama mpango anzilishi wa safari yake ya maisha hapo baadae
pia anaomba watoto wenzake kuwa kama yeye ilikuinua tekinolojia ya tanzania kwa maendeleo ya nchi yetu

Comments

Popular posts from this blog

Siri Yafichuka, Prince Dube Anakwenda Yanga Kuziba Nafasi ya Fiston Mayele

Top Ten ya Makabila Yaliyotoa Wasomi Wengi Nchini Tanzania

Jacqueline Wolper Atamani Kutoka Kimapenzi na Rais