Rais Magufuli apokea hati za utambulisho wa Mabalozi

Rais Dkt. John Magufuli leo tarehe 02 Agosti 2020 amepokea hati za utambulisho wa Mabalozi wa wawili.

1.Mhe. Nguyen Nam Tien Balozi Mteule wa Vietnam Nchini Tanzania

2.Mhe. Donald John Wright Balozi Mteule wa Marekani hapa Nchini.

 
















NancyTheDreamtz

Comments

Popular posts from this blog

UCHAGUZI KENYA: Mchezaji wa zamani wa Inter Milan, McDonald Mariga kutoana jasho na Prezzo

Siri Yafichuka, Prince Dube Anakwenda Yanga Kuziba Nafasi ya Fiston Mayele