Mpenzi wa Rapper Snitch Ajulikanaye Kama Tekashi 69 Ametangaza Kuwa na Ujauzito Baada ya Tekashi Kuachiwa Huru


Siku 4 baada ya Tekashi 69 kumaliza kifungo chake, sasa yupo tayari kulea familia yake na mtoto mwingine.

Mpenzi wake, Jade ametangaza kuwa na ujauzito. Kupitia instagram yake juzi (@__ohsoyoujade) aliweka wazi hilo. Bado Tekashi hajathibitisha taarifa hizo kwa upande wake, lakini huyu atakuwa mtoto wa pili kwa wawili hao

NancyTheDreamtz

Comments

Popular posts from this blog

UCHAGUZI KENYA: Mchezaji wa zamani wa Inter Milan, McDonald Mariga kutoana jasho na Prezzo

Siri Yafichuka, Prince Dube Anakwenda Yanga Kuziba Nafasi ya Fiston Mayele