Mkwassa Apigwa Chini Yanga



Kamati ya ufundi ya klabu ya Yanga imefanya mabadiliko kwenye benchi la ufundi la kalbu hiyo kwa kuacha na kocha msaidizi Boniface Mkwassa na kuwapangia majukumu mengine baadhi ya watendaji wa benchi hilo.

Uamuzi wa Yanga umetangazwa leo na mwenyekiti wa kamati hiyo Dominick Albunis kwa lengo la kuleta mabadiliko ya kiundetaji wa klabu hiyo.

Kwenye taarifa iliyotolewa na Yanga wengine walitolewa kwenye benchi la ufundi ni kocha wa makipa Peter Manyika na meneja wa timu Abeid Mziba, kit manager Fred Mbuna ambao kwa pamoja watapangiwa Majukumu mengine.
NancyTheDreamtz

Comments

Popular posts from this blog

Waziri Lugola Awaondoa Madarakani Maafisa Wa NIDA Mkoa Wa Ruvuma

UCHAGUZI KENYA: Mchezaji wa zamani wa Inter Milan, McDonald Mariga kutoana jasho na Prezzo