Baada ya Mambo Kumwendea Hovyo Dogo Janja kaamua Kukimbilia kwa Mwanasaikolojia

NancyTheDreamtz
Baada ya Mambo Kumwendea Hovyo Dogo Janja kaamua Kukimbilia kwa Mwanasaikolojia
Inasemekana Dogo Janja hayuko sawa Kisaikolojia hii ni baada ya kupost picha kupitia ukurasa wake wa instagram akiwa na mwanasaikolojia maarufu nchini Chris Mauki.

Wengi wamedai  sababu ya Dogo Janja kukutana na mwanasaikolojia huyo ni kuwekwa sawa  yale yote anayopitia kwa sasa kutokana na wengi kuhusisha kuwa kuna ugomvi  unaendelea kati yake na mke wake Irene Uwoya kitu hicho kinamfanya asiwe katika hali yake ya kawaida.

Dogo Janja ameandika  “Shukrani sana kaka @chrismaukiphd 🙏🏻 ni furaha kuwa na watu kama nyingi”

Comments

Popular posts from this blog

UCHAGUZI KENYA: Mchezaji wa zamani wa Inter Milan, McDonald Mariga kutoana jasho na Prezzo

Siri Yafichuka, Prince Dube Anakwenda Yanga Kuziba Nafasi ya Fiston Mayele