Wazazi wanaposalitiana isiwe sababu ya Mmojawao kumdanganya mtu mungine juu ya Mtoto aliyezaa nae

NancyTheDreamtz
Jamani tunapokuwa kwenye mahusiano kama mmoja wao anamdanganya mungine basi ajue mwisho wasiku ataachika na isiwe sababu yakumfanya huyo wasasa kuwa yuko sahihi ila wamwanzo hana zuri alilowahi kumfanyia kwani huwezi nufaika kwakusema uongo mungu anakuona mara mia ya unavyojiona wewe







Comments

Popular posts from this blog

UCHAGUZI KENYA: Mchezaji wa zamani wa Inter Milan, McDonald Mariga kutoana jasho na Prezzo

Siri Yafichuka, Prince Dube Anakwenda Yanga Kuziba Nafasi ya Fiston Mayele