Hili ndio Swali la Mobetto lililompa ushindi Miss Tanzania 2018 Queen Elizabeth

NancyTheDreamtz
Mashindano ya Miss Tanzania yamemalizika kwa mrembo, Queen Elizabeth kutoka Zone ya Dar es salaam kuondoka na taji hilo huku akiwamwaga wenzake 19. Baada ya kuingia tano bora.
Warembo hao waliulizwa na maswali na aliyejibu vizuri alijichukulia maski nyingi kutoka kwa majaji,kati ya warembo hao kuna wengine walijibu vizuri huku mmoja wao akipata kigugumizi wakati wa kujibu swali husika.
N kati ya warembo hao warembo watatu walijibu maswali kwa lugha ya Kiingereza huku warembo wawili yaani aliyeshika nafasi ya tano na ya nne hao waliweza kujibu maswali kwa kutumia lugh ya taifa ya kiswahili huk mshindi namba tatu mpaka namba moja wakijibu kwa lugha ya kiingereza.
Na haya ndio miongoni mwa maswali waliyoulizwa na hapa ndio mshindi wetu anajibu swali baada ya kuulizwa na mshereheshaji wa sherehe hiyo mwanamitindo Hamissa Mobetto.



Comments

Popular posts from this blog

UCHAGUZI KENYA: Mchezaji wa zamani wa Inter Milan, McDonald Mariga kutoana jasho na Prezzo

Siri Yafichuka, Prince Dube Anakwenda Yanga Kuziba Nafasi ya Fiston Mayele