Flavian Matata Akutana na Nick Minaj Baada ya Kumpamba Kucha

NancyTheDreamtz

Baada ya Kupata Deal ya Kupamba Kucha za One of the Best female Rapper Kutokea Pande za Marekani @nickiminaj , Mwanamitindo Maarufu @flavianamatata amekutana nae na Kupata Picha ya Pamoja kwenye Tukio la Utolewaji wa Tuzo za #FMAS2018

August 21 Mwaka Huu, Flaviana Kupitia Account yake ya Twitter aliandika kuwa #NickiMinaj alitumia Product za Lavy Namba 29, wakati wa kupiga picha zilizotumika kwenye Jarida la Fashion la @voguearabia la Mwezi September Mwaka Huu

Comments

Popular posts from this blog

Top Ten ya Makabila Yaliyotoa Wasomi Wengi Nchini Tanzania

Waziri Lugola Awaondoa Madarakani Maafisa Wa NIDA Mkoa Wa Ruvuma