Qwisa wa Shilawadu Awatolea Povu Wanayemshambulia Mpenzi Wake ''Chambeni Weeeee Siachani Nae''

Qwisa wa Shilawadu Awatolea Povu Wanayemshambulia Mpenzi Wake ''Chambeni Weeeee Siachani Nae''
Mtangazaji wa Clouds Media aliyejipatia umaarufu wake kupitia kipindi cha SHILAWADU akiwa na mtangazaji mwenzake Soud Brown, baada ya kutangaza rasmi kuuaga ukapera baada ya wikiend hii kumvisha pete mpenzi wake na kujianda kwa ajili ya ndoa hivi karibuni. huko mtandaoni pamekuwa hapashikiki katika page zote za udaku kuanza kumchambua mwanamke wake kila kona kama vile yeye na mtangazaji mwenzake Soudy wanavyokuwa wakifanya katika kipindi chake cha shilawadu.

Kufuatia kitendo hicho Qwisa ameonekana kuchukizwa na kitendo hicho na kuamua kuwatolea povu wanaomchambua mpenzi wake na kusema kua wao wametoka mbali na anampenda hivyo hivyo na ubaya wake kwakuwa anajua utamu wa mkewe.

Kupitia ukrasa wake wa instagramu aliandika hivi ''Mama Kamanda akipakwa Wanja wake almaarufu.. Nagaramia, Nampenda Hivyo hivyo na Wanja wake na sura yake na umbo lake na sugu zake.. Chambeni weeeee #SiachaniNae''

Comments

Popular posts from this blog

UCHAGUZI KENYA: Mchezaji wa zamani wa Inter Milan, McDonald Mariga kutoana jasho na Prezzo

Siri Yafichuka, Prince Dube Anakwenda Yanga Kuziba Nafasi ya Fiston Mayele