BASATA washikwa kigugumizi kujibu sakata la WCB na Rich Mavoko ‘nyie mmesikia kafukuzwa tayari?’ (+video)

NancyTheDreamtz
araza la Sanaa Taifa (BASATA) leo limewakutanisha tena Rich Mavoko na Uongozi wa WCB akiwemo Diamond Platnumz kujadili ishu ya mkataba inayoendelea kati ya msanii huyo na lebo ya WCB.
BASATA wameshindwa kueleza kwa kina ni mambo gani waliyoafikiana lakini wamesema wanachojua ni kwamba Rich Mavoko yupo WCB na hajafukuzwa hizo ni ishu za mitandaoni.


Comments

Popular posts from this blog

UCHAGUZI KENYA: Mchezaji wa zamani wa Inter Milan, McDonald Mariga kutoana jasho na Prezzo

Siri Yafichuka, Prince Dube Anakwenda Yanga Kuziba Nafasi ya Fiston Mayele