Watu kadhaa wakamatwa kufuatia mauaji ya Rais wa Haiti
Get link
Facebook
X
Pinterest
Email
Other Apps
-
Maafisa wa serikali ya Haiti wamewaomba wananchi kuwa watulivu wakati wanaendelea na uchunguzi kufuatia mauaji ya Rais wa nchi hiyo, Jovenel Moïse, huku kundi la washukiwa 28 kati yao ishirini wamekamatwa.
Comments