Nyota Yako Leo Jumanne 21 May 2019

NancyTheDreamtz


🔯NG'OMBE -  (April 21– May 21)
Leo hii ukimuona mtu ana ndevu nyeupe, basi ujue hiyo ni ishara ya kuwa mambo yako sasa yatafunguka na kukunyookea, ile mikwamo ya hapa na pale itafunguka kwa urahisi.

🔯MAPACHA - (May 22- Juni 21)
Leo katika matembezi yako ukikutana na mwanamme amevaa mkufu wa shanga, hiyo ni dalili ya kupata kila kitu utakachokihitaji bila ya kutumi67a muda au nguvu nyingi.Unashauriwa kuwa mtu wa ibada na kutoa sadaka.

🔯KAA - (Juni 23- Julai 22)
Leo Mchana ukikutana na Mwanamme akiwa amevaa Mkufu wa Fedha, hiyo ni dalili ya kutimia kwa ndoto yako ya kupata Mwanamke au Mwanamme mzuri na kutimia kwa Ndoa yako.

🔯SIMBA LEO -  (Julai 24- Agosti 23)
Ukimwona mtoto Leo hii analia, basi hiyo ni ishara ya wewe kupata mtoto mzuri au utapata mpenzi mpya ambaye utakutana naye bila ya kutegemea. Sherehe utakayohudhuria itakutanisha na wangu wengi ambao hukutegemea.

🔯MASHUKE - (Agosti 24- Septemba 23)
Elewa kuwa ile posa yako imekataliwa na mpenzi unayemtaka hana haja na wewe. Unahitajika kuwa mkweli kwa kila hatua utakayoichukua.ili hao unaowataka wakuamini na upate ukitakacho.

🔯MIZANI - (Septemba 24– Oktoba 23)
Leo hii ukipewa habari kwamba kuna mtu anakusengenya, hiyo ni dalili kwamba utakosa yale yote uliyoyategemea na mtu yoyote hawezi kuwekea pingamizi.tegem
ea kukutana na mtu mkubwa Serikalini ambaye atakusaidia.

🔯NG'E – (Oktoba 24– Novemba 22)
Kama Leo hii ukiumwa kichwa au ukikutana na mtu akakuambia anaumwa kichwa, hiyo ni ishara ya kupata habari nzuri. Leo Mkeo au mumeo au mwanao atakuudhi kwa mambo atakayofanya.

🔯MSHALE – (Novemba 23- Desemba 21)
Siku ya leo utatukuzwa kwa jambo dogo utakalolifanya lakini utapata matatizo katika malengo yako uliyoyapanga kwa wiki nzima.Kuna watu wanataka kukukwamisha jaribu kuwa msiri wa mambo yako.

🔯MBUZI - (Desemba 22- January 20)
Elewa kuwa hutafanikiwa katika mambo ya pesa utakayoyafanya leo.Ili kuepuka hayo jitahidi kumuomba mungu kwa sala. Leo Jicho likikucheza au ukikutana na mtu ambaye ameumia Jicho, basi hiyo ni dalili ya kuwa msaada unakuja.

🔯NDOO – (January 21– February 19)
Leo hii ukimuona Paka katulia mahali wakati si kawaida yake, basi ujue hiyo ni dalili ya kuwa hauko mbali na mahali ambapo mpenzi wako huwa anakutania na mpenzi wake mwinngine.

🔯SAMAKI -  (February 20- March 20)
Siku ya Leo kuna dalili ya kupoteza kitu chako muhimu ambacho kimekusaidia kwa muda mrefu. Mali iliyoibiwa siku nyingi itapatikana. Ikitokea leo wakati wowote ukamwona Panya mahali kwa hiyo ni dalili ya kupata misukosuko.

🔯PUNDA -  (March 20- April 20)
Leo hii kuna ishara ya kufanikiwa katika mambo yako ya kikazi, adui yako atakuogopa na kukupisha ufanye mambo yako bila ya wasiwasi.usiwe na wasiwasi mkabili na upambane nae.                                                         
SHEIKHE ISAYA MWENYE UWEZO WA KUFANYA dua na visomo atakusaidia katika mambo yafatayo. kusafisha nyota, kuondoa nussi, mikosi, kutoa majini wabaya, kukuza biashara yako. kumvuta na kumrundisha mmeo ama mkeo, kupata kazi, kupata cheo, kushinda kesi, kufaulu masomo, nk SHEIKHE ISAYA ANAPATIKANA OFISINI KWAKE MAGOMENI MSIKITI WA KINYUNGI SIMU AU WHATSAPP +255745495181 0682644040

Comments

Popular posts from this blog

UCHAGUZI KENYA: Mchezaji wa zamani wa Inter Milan, McDonald Mariga kutoana jasho na Prezzo

Siri Yafichuka, Prince Dube Anakwenda Yanga Kuziba Nafasi ya Fiston Mayele