Mwanamuziki Rihanna Aamua kuja na Albamu ya Reggae

NancyTheDreamtz

Kwa muda mrefu kumekuwa na tetesi kuwa Rihanna anaanda Albamu ya Reggae, Mwaka jana pia alidokeza lakini akapiga tena kimya.

Kupitia mahojiano yake mapya na jarida la ‘NY Times’ Rihanna amethibitisha kuwa anaandaa Albamu ya Reggae, Pia amefunguka kuwa bado hajajua jina la Albamu japo mashabiki wengi wanataka iitwe “R9” kwasababu ni Albamu yake ya 9.

Pia alipoulizwa kama ana mpango wowote wa kufanya kazi na Drake alisema sio siku yoyote ya hivi karibuni.

Comments

Popular posts from this blog

UCHAGUZI KENYA: Mchezaji wa zamani wa Inter Milan, McDonald Mariga kutoana jasho na Prezzo

Siri Yafichuka, Prince Dube Anakwenda Yanga Kuziba Nafasi ya Fiston Mayele