Muna Love "Kazi Yangu Inayoniweka Mjini ni Kufagia Makaburi ya Kinondoni

NancyTheDreamtz
MSANII wa filamu ambaye kwa sasa amejikita kwenye muziki wa Injili, Rose Alphonce ‘Muna Love’ amemtolea povu si la nchi hii shabiki wake aliyetaka kujua wapi anapopata fedha za kutanua.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Muna alimjibu shabiki anayejiita Anitha_sanga_e ambaye alipoona picha ya Muna mtandaoni humo iliyoonesha anakula bata, ndipo alipomuuliza:
“Muna unafanya kazi gani?” 
Unataka kujua alijibu nini? Mambo ni moto, hili ndilo lilikuwa jibu lake:
“Nafagia makaburi ya Kinondoni mpenzi.”

Comments

Popular posts from this blog

UCHAGUZI KENYA: Mchezaji wa zamani wa Inter Milan, McDonald Mariga kutoana jasho na Prezzo

Siri Yafichuka, Prince Dube Anakwenda Yanga Kuziba Nafasi ya Fiston Mayele