Mhe. Lema amlipua Waziri Lugola na Kamanda Mambosasa sakata la kutekwa Mo Dewji ‘heti Kamera hazikunasa gari vizuri’ (+video)

NancyTheDreamtz
Mbunge wa Arusha Mjini kwa Tiketi ya CHADEMA, Godbless Lema ambaye pia ni Waziri Kivuli wa Mambo ya Ndani amefunguka kwa mara ya kwanza kuhusu tukio la kutekwa kwa Mfanyabiashara maarufu nchini Tanzania, Mo Dewji.

Lema akizungumza na Waandishi wa Habari leo Oktoba 16, 2018 jijini Dar Es Salaam amehoji vitu kadhaa zikiwemo kauli zilizotolewa na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola na zile taarifa zilizotolewa na Jeshi la Polisi Kanda maalum ya Dar Es Salaam.

Comments

Popular posts from this blog

Siri Yafichuka, Prince Dube Anakwenda Yanga Kuziba Nafasi ya Fiston Mayele

Top Ten ya Makabila Yaliyotoa Wasomi Wengi Nchini Tanzania

Jacqueline Wolper Atamani Kutoka Kimapenzi na Rais