Mara ya Tatu Sasa Namwota Secretary wa Kazini Kwetu Nikifanya Nae Mapenzi

Kaushauri ndugu zangu; usiku wa kuamkia leo ni siku ya tatu siyo mfululuzo naota nafanya mapenzi na secretary mmoja ambae yupo kazini kwetu ila sipo nae ofisi moja.

Sijawahi kumtongoza, sina feelings zozote na yeye, wala sijawahi kufikiria kumtongoza. Hizo mara mbili nilivyomwota sikumwambia maana niliona kama ninaweza kujenga ukaribu ambao sijau-plan. Lakini mara hii ya tatu naona si vema nikae tu kimya maana siku hiz watu wana technic-know-how. Nitamweleza mbele za watu kuwa nimeota nimefanya nae mara tatu. Sina mazoea ya kuota kufanya mapenz ndotoni imetokea kwake tu ndo maana nimeona si kitu cha kawaida kwangu na pia bora angekuwa mtu hata nam-feel ningechukulia hivo. Naombeni Ushauri Kwa Wanaojua Mambo ya Ndoto

Comments

Popular posts from this blog

UCHAGUZI KENYA: Mchezaji wa zamani wa Inter Milan, McDonald Mariga kutoana jasho na Prezzo

Siri Yafichuka, Prince Dube Anakwenda Yanga Kuziba Nafasi ya Fiston Mayele