Skip to main content

Diamond ajibu ishu ya kuvaa kikuku ‘wanavaa wahuni waliotoroka jela, mtu hawezi kunipangia kuvaa’

Msanii wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz kwa mara ya kwanza amejibu sakata la kuvaa cheni za miguuni almaarufu kama Kikuku ambapo amewasanua watu kuwa kitendo hicho kinatafsiri mbali mbali kulingana na nchi husika.

Diamond kupitia Wasafi TV amesema kuwa kwa Marekani au nchini nyingine mtu kuvaa cheni mguuni anaonekana kama shujaa ambaye ametoroka jela.
Pia Diamond amedai kuwa hakuna mtu ambaye anaweza kumbadilisha kwenye mavazi kwa sababu anavaa kile anachokitaka na kama atamfuatilia ataumia tu kwani fasheni kila mtu ana fasheni yake na tayari ana watoto watatu na shughuli yake watu wanamjua.

Related Articles

Comments

Popular posts from this blog

UCHAGUZI KENYA: Mchezaji wa zamani wa Inter Milan, McDonald Mariga kutoana jasho na Prezzo

Siri Yafichuka, Prince Dube Anakwenda Yanga Kuziba Nafasi ya Fiston Mayele