Lava Lava Akumbwa na Skendo ya Kutelekeza Ujauzito...Queen Darling Ahaidi Kumlea


Msanii wa muziki kutoka lebo ya WCB Wasafi, Queen Darleen amedai kuwa yuko tayari kulea mtoto atakayezaliwa na 'Flaviana Lutakwa', mwanamke aliyedai kuwa ana Ujauzito wa msanii @iamlavalava.

Queen amejitokeza na kuonesha utayari wa hilo kwa kuandika kwenye uwanja wa Maoni wa #EXCLUSIVE Interview iliyofanyika #DizzimOnline juu ya malalamiko ya mwanamke huyo, baada ya kusikika akidai kuwa amebeba Ujauzito na anakumbana na Changamoto ya kupotezewa na Msanii hiyo.

Comments

Popular posts from this blog

Top Ten ya Makabila Yaliyotoa Wasomi Wengi Nchini Tanzania

Hii Hapa Orodha ya Uteuzi Alioufanya Rais Magufuli leo

Jeshi la Uganda lazindua kondomu zenye kibwagizo ‘Usiende nyama kwa nyama’ kuwalinda wanajeshi wake