Posts

Kila Mwanaume Anaye Lala na Mimi Harudii Tena na wala Simu zangu Hapokei

Image
Mimi  ni  mwanamke.Naomba msaada wa  mawazo  maana  sijui nina nini mimi... Umri unanitupa mkono maana nakaribia miaka 35 lakini sijampata aliyewahi kunitangazia ndoa.Cha ajabu kila anayelala na mimi siku ya pili harudii tena na hata nikimpigia simu hapokei Hapo ndo linapoanzia tatizo na  kunifanya nijisikie vibaya...Saivi  hata mtaani nachagua kwa kupita... Kuna mwanaume mmoja huyo ndo aliwahi kunichana live kuwa nina maji mengi ila sielewi alimaanisha nini Jamani naomba msaada nifanyaje mie nipendwe kama wengine nyandichethedreamtz

Watu kadhaa wakamatwa kufuatia mauaji ya Rais wa Haiti

Image
Maafisa wa serikali ya Haiti wamewaomba wananchi kuwa watulivu wakati wanaendelea na uchunguzi kufuatia mauaji ya Rais wa nchi hiyo, Jovenel Moïse, huku kundi la washukiwa 28 kati yao ishirini wamekamatwa. nyandichethedreamtz

Mke wa Ben Pol Afunguka Mazito

Image
Wakati bado kuna sintofahamu juu ya ndoa yake na staa wa RnB Bongo, Ben Pol, mrembo tajiri wa Kenya, Anerlisa Muigai ametoa ujumbe mzito juu ya uhusiano wake wa kimapenzi. Kupitia kwenye ukurasa wake wa Instagram, Anerlisa ameandika; “Ukianza kitu, kuwa na ujasiri wa kumaliza pia. Mimi siyo mama wa mtoto wa mtu, kwa hivyo usifikirie unaweza kushikilia maisha yangu…” Kwa mtazamo wa mambo, Anerlisa anaweza kuwa anazungumzia kesi yake ya talaka na Ben Pol ambaye ni mumewe wa zamani. Wakati habari za talaka yao zilipoibuka, ilisemekana kwamba Ben Pol ndiye aliyeanzisha taratibu za talaka.   Kupitia mitandao ya kijamii, mwanadada huyo alisema kwamba alichotakiwa kukifanya alishakifanya na ametia saini. Alisema kwamba, jambo la muhimu maishani mwake sasa ni kazi yake na amani katika maisha yake.   “Nataka kuweka mambo wazi kuwa nilisaini chochote  kilichohitajika kusainiwa, na sitamani kuhusishwa na mtu yeyote mtazamo wangu hivi sasa, ni kazi yangu na amani yangu,” alisema Aner...

HikConnect Setup for NVR/DVR

Image
Image
BINGWA mtetezi wa ligi kuu Simba, leo Juni 19, imefanikiwa kuvuna alama tatu, dhidi ya Polisi Tanzania, kwenye mchezo  uliochezwa katika  uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza baada ya kushinda bao 1-0.   Goli pekee la kwenye mchezo huo limefungwa na Luis Miquissone dakika ya 28 kwa adhabu ndogo (Free kick) baada ya beki wa kulia Shomari Kapombe kufanyiwa madhambi nje ya 18, bao hilo la nane kwenye ligi kuu kwa ‘Konde Boy’   Kwa matokeo hayo Simba ambaye ni bingwa mtetezi wa ligi imefikisha alama 70, baada ya kushuka dimbani mara 28, nafasi ya pili ipo Yanga yenye alama 64,  baada ya kucheza michezo 30.   NancyTheDreamtz

Kajala: Paula Anakwenda Shule

Image
S TAA  mkali wa Bongo  Movies, Kajala Masanja,  amevunja ukimya  uliotawala kwa kipindi  kirefu baada ya kuachana na  aliyekuwa mpenzi wake ambaye  ni msanii wa muziki wa Kizazi  Kipya, Rajab Abdul Kahali  ‘Harmonize’; kubwa ni suala la  mwanawe, Paula Paul au Paula  Kajala kwenda shule.   Kajala anasema kuwa, kwa  sasa yupo fiti na anaendelea  vyema na maisha yake kama  kawaida.   Katika mahojiano maalum  (exclusive interview) na Gazeti la  IJUMAA, Kajala ambaye ni mama  wa mtoto mmoja, Paula anasema  amekutana na changamoto  nyingi ndani ya mwaka huu na  kamwe hawezi kuja kusahau  ambapo amejifunza mambo  mengi maishani mwake.   Kajala anasema kuwa, yeye  pamoja na mtoto wake, Paula  wamejifunza mengi ambayo  hawatayasahau. KWANI KAJALA MWENYEWE  ANASEMAJE?   IJUMAA:  Habari za siku  kedekede Kajala…   KAJALA:  Salama...

Rais Samia Ateua Wakuu wa Wilaya Wapya-Video

Image
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan leo Juni 19, 2021 mefanya uteuzi wa Wakuu wa Wilaya Tanzania Bara.                 NancyTheDreamtz