Sinto Fahamu Yajitokeza Mbwana Samatta Kutocheza Mechi ya Leo Dhidi ya Ali Kiba...Samatta Afunguka


Reposted from @samagoal77  -  Ni kwa masikitiko makubwa ningependa kutangaza kuwa sitaweza kushiriki katika mchezo wa leo kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wangu, kama mmoja wa wahasisi wa taasisi hii ya samakiba ni jambo ambalo limeniumiza sana kutokucheza mchezo wa nifuate season 3, nimejaribu kila aina ya njia ili kuweza kushiriki lakini imeshindikana kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wangu, nichukue nafasi hii kuwaomba radhi mashabiki wote watakaoudhuria mchezo wa leo, mashabiki wa team samatta, wachezaji na kwa ukubwa kabisa wadhamini ambao wamejitolea kwa hali na mali kufanikisha mchezo huu. Naomba mnielewe na naomba muende kusapoti mechi hii kwa moyo wa mapenzi yote kwa wale watakaosaidiwa na taasisi hii. Asanteni. 

NancyTheDreamtz

Comments

Popular posts from this blog

UCHAGUZI KENYA: Mchezaji wa zamani wa Inter Milan, McDonald Mariga kutoana jasho na Prezzo

Siri Yafichuka, Prince Dube Anakwenda Yanga Kuziba Nafasi ya Fiston Mayele