TAASISI ISIYO YAKISERIKALI VISIWANI ZANZIBAR YAWAKILISHA MAONYESHO YA NANENANE 2020

Taasisi isiyo ya Kiserikali Zanzibar inayojulikana kwa jina la UMAWEZA imeendelea na kilele cha Sherehe za Nanenane Visiwani Zanzibar kama kawaida Taasisi hiyo inaadhimia kuboresha zaidi shughuli
za Kijamii Visiwani Zanzibar ikiwemo suala mama la Elimu ya Sayansi na Tekinolojia hivyo basi watendaji wake imara na waliotukuka kiutendaji wameonekana kuendelea kuchapa kazi katika maonyesho
kama alama au nembo Visiwani Zanzibar .

Imejikita zaidi katika kumfanya Mwanamke athaminike katika Taaluma ambayo ya Sayansi na Tekinolojia
Visiwani humo pamoja na Kumuinua kijana juu ya Matumizi ya Madawa ya Kulevya Visiwani Zanzibar pamoja na jitihada za Kumtua mama Ndoo kichwani

Hapo chini tunaonyeshwa matukio ya picha mbalimbali za Maonyesho ya Nanenane Visiwani Zanzibar Mwaka 2020




NancyTheDreamtz

Comments

Popular posts from this blog

UCHAGUZI KENYA: Mchezaji wa zamani wa Inter Milan, McDonald Mariga kutoana jasho na Prezzo

Siri Yafichuka, Prince Dube Anakwenda Yanga Kuziba Nafasi ya Fiston Mayele