Z Anto akasirishwa na kauli za Wastara kwa Binti Kiziwi (Video)

NancyTheDreamtz

Msanii wa muziki, Z Anto amedai hajapendezwa na namna muigizaji Wastara waliivyokuwa akimzungumzia vibaya, Binti Kiziwi ambaye ameshiriki kama video queen kwenye wimbo wake ‘Nichape’ ambao kwa sasa unafanya vizuri. Hata hivyo muimbaji huyo ameshindwa kueleza mahusiano yake na Wastara.

Comments

Popular posts from this blog

Waziri Lugola Awaondoa Madarakani Maafisa Wa NIDA Mkoa Wa Ruvuma

UCHAGUZI KENYA: Mchezaji wa zamani wa Inter Milan, McDonald Mariga kutoana jasho na Prezzo