Lema 'Ina Maana Mahakama imetoa CONTROL Number Mbili Kwa Ajili ya Malipo Mtu Mmoja?"




Mbunge wa Arusha mjini (Chadema), Godbless Lema  ahoji ina maana mahakama inatoa control number mbili kwa ajili ya malipo ya mtu mmoja.

“Unajua kuna level fulani ya maisha mtu ukifika hupaswi kabisa kuwa msanii! nauliza ata kama ni sawa je wanafikiri watafanikiwa nini,” alihoji Lema.

Lema aliandika ujumbe unaosome hivi katika ukurasa wake wa Twitter “Kwamba Mahakama inatoa control number mbili kwa ajili ya malipo ya mtu mmoja? Unajua kuna level Fulani ya maisha mtu ukifika hupaswi kabisa kuwa msanii! nauliza ata kama ni sawa je wanafikiri watafanikiwa nini,”.

Leo Rais John Magufuli amelimlipia faini mbunge wa Iringa Mjini (Chadema), Mchungaji Peter Msigwa ambaye tupo gerezani kwa kushindwa kulipa fedha hizo baada ya kuhukumiwa katika kesi ya uchochozi akiwa na vigogo wenzake nane.

Comments

Popular posts from this blog

UCHAGUZI KENYA: Mchezaji wa zamani wa Inter Milan, McDonald Mariga kutoana jasho na Prezzo

Siri Yafichuka, Prince Dube Anakwenda Yanga Kuziba Nafasi ya Fiston Mayele