Yanga Yapigwa na KMC Bao 1-0, Yabaki Nafasi ya Tatu
Get link
Facebook
X
Pinterest
Email
Other Apps
-
NancyTheDreamtz
Timu
ya Yanga imefungwa bao 1-0 dhidi ya KMC leo Machi 12, 2020 katika
Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam. Mfungaji wa bao la KMC ni Salim
Aiyee dakika ya 62.
Comments