Mbasha Amtolea Povu Zito Shabiki Alimwambia Anajichubua

NancyTheDreamtz
Mbasha Amtolea Povu Zito Shabiki Alimwambia Anajichubua
Msanii wa nyimbo za injili nchini Emmanuel Mbasha amtole povu la kufa mtu shabiki yake katika mtandao wake wa instagram ambae anadai kuwa weupe wa Mbasha ni wa kujichubua.

Mbasha amtolea uvivu shabiki huyo na kumpa za uso huku akimwambia kuwa weupe wake ni wa asili wala sio wa kuchakachua.

Hiki ndicho alichoandika:

hivi wewe unayenipakilia kwenye comment kwamba niache mkorogo nani alikwambia mie najicream sijawahi kujicream weupe wangu ni waasili waulize wanaonijua wakueleze, sawa na sura yako mbaya ilivyo ya asili domo kubwaa hata lipsi halina wanja sasa lipua kubwa kama bukta ya fudenge😀😀 macho kama mzeee wa likwidiii mamaanakufaa....kabala hujaniponda kwanza jiangalie wewe kwanza cheki mikorogo ilivyokukataaa jamani watu wa bongo muvi mkitaka kuigiza picha ya kutisha hapa kunajitu halihitaji hata mekapuuu.eti mamawatatu jamani haya mumfolo mkajionee @apoloniapeter12 kila siku unanipondaga tu navumilia haya leo Utajibeba

Comments

Popular posts from this blog

UCHAGUZI KENYA: Mchezaji wa zamani wa Inter Milan, McDonald Mariga kutoana jasho na Prezzo

Siri Yafichuka, Prince Dube Anakwenda Yanga Kuziba Nafasi ya Fiston Mayele