Diamond Platnumz Atishia Kuondoka Tanzania na Kuchukua Uraia Kenya

NancyTheDreamtz

Ameandika Ibrahim Augustine
Mwimbaji maarufu na CEO wa WCB namzungumzia Diamond platnumz ametishia kuondoka Tz na kuhamia nchini Kenya hii ni kwa sababu nyimbo zake kufungiwa kila wakati na BASATA
Maneno haya ameyasema kipindi akihojiwa na Times FM , nimekutana na Video Youtube

Niki nukuu maneno yake "Mimi kama nyimbo zangu wataendele kuzifungia fungia hivi itabidi nisepe sasa wanataka tifa na mama yangu wale nini makaratasi?,mziki ndio ajira yangu naweza nikaenda hats Kenya na mambo yakawa fresh"

Nini unajifunza
Nimegundua kwamba msanii diamond anatumia cheo chake kikubwa ama wadhfa wake kuitishia BASATA
Ili basata wamfungulie I swear wakifanya hivi wanaua vizazi kitu ambacho hakifai kwani hawezi kuimba nyimbo bila kuweka video au maneno ya matusi Mimi kama anataka asepe aondoke tena hata sasa hivi asituharabie maadili ya watoto wetu sasa hivi mitaani watoto wetu wanaongea maneno ya ajabu na machafu hata mbele za wageni (ila Mimi sijaoa na wale sina mke ila mtoto wako ni wetu sote tuwachunge) diamond anazalisha vizazi vya nyoka aisee.
Wito wangu ni kwamba wasanii wafuate maadili ya watanzania mbona davido nyimbo yake ya fall wasichana wamevaa kiheshima na nyimbo hiyo imechukua tuzo na ni nyimbo yenye views nyingi Africa INA views milion100 sasa diamond mbona nyimbo yake ya Nana watu wamevaa kiheshima na ni nyimbo inayo ongoza Tanzania kwa views nyingi karibu million 50
Ndo ujue kwamba watanzania ama watu wengi hawapendi nyimbo za matusi kama wasanii na mavideo vixen watavaa kiheshima kila mtanzania ataangalia nyimbo yake hata mapadri na wazee wakubwa wata ivyuu tuu
Nasema mungu ibariki Tanzania mungu ibariki afrika

VIDEO:


Comments

Popular posts from this blog

UCHAGUZI KENYA: Mchezaji wa zamani wa Inter Milan, McDonald Mariga kutoana jasho na Prezzo

Siri Yafichuka, Prince Dube Anakwenda Yanga Kuziba Nafasi ya Fiston Mayele