Maimatha Athibitisha Wema Kutapeliwa Zaidi ya Milioni 40 na Aliyemtangaza Future Husband

NancyTheDreamtz
Maimatha Athibitisha Wema Kutapeliwa Zaidi ya Milioni 40 na Aliyemtangaza Future Husband
Mwanadada mjasiliamali na Rafiki wa karibu wa mema sepetu ambaye ni Maimatha wa Jesse amethibitisha yale maneno ya watu yaliokuwa yanasambaa kwenye mitandao ya kijamii kuwa wema ametapeliwa pesa zaidi ya milioni 40 ya yule mwanaume aliye mtangaza kuwa ni future husband.

Kupitia ukrasa wake wa kijamii Maimatha amesema kuwa future husband wa Wema anatafutwa kwa kosa la kuwatapeli watu.

ANATAFUTWA NA POLISI ............................................. Dah kumbe kweli lisemwalo kama halipo basi linakuja...huyu jamaa anaitwa Patrick hilo jina la Pck naskia ni la kutapeli watu😪
Naskia huju jamaa kweli amemtapeli wema kama million 40 hv😴 alizipata kwa mauzo ya movie ....(inauma sana)
Naskia ndio tabia yake kutapeli wanawake....alibadilishaga na dini huko Dubai akamuoa mbibi mmoja hivi....huyo mbibi anafamilia yake kabisa....
Afu kumbe jamaa sio mnyarwanda wala nini kwao kumbe tabora....na unaambiwa anapenda kujisexisha na kuwapiga picha mbaya wanawake mwishowe anawatapeli....
Anaroho mbaya sana....ila kwa jeshi la Magufuli kaingia pabaya ....atakamatika tuuu....😅
Kumbe insta saa ingine mnasemaga ukweli...maana mlimshikilia bango jamaa huyu kuwa tapeli mpaka ikawa balaa....
Kweli wanawake inabidi muwe makini sana...
Pole tz sweetheart"😴
🤔yaani ungejua dah....pole sana my bby...

Comments

Popular posts from this blog

UCHAGUZI KENYA: Mchezaji wa zamani wa Inter Milan, McDonald Mariga kutoana jasho na Prezzo

Siri Yafichuka, Prince Dube Anakwenda Yanga Kuziba Nafasi ya Fiston Mayele