Diamond Amtupia Mabegi nje Kim Nana, Penzi lao Lafika Ukingoni

NancyTheDreamtz
Lile penzi lililokuwa gumzo kwa muda wa siku chache zilizopita kati ya Diamond na mwanadada Kim nana limefika mwisho baada ya mwanadada huyo kutupiwa mabegi nje katika gate la Diamond Platinumz.

Mwanadada huyo ambae nae alikuja kwa kasi bila kuangalia wanawake waliopita kwa Diamond walikuwa katika hali gani alijikuta akijihusisha kimapenzi na Diamond tena bila kuogopa penzi lao lilikuwa wazi kwa muda mfupi tu.

Mwanadada hyo alitupiwa mabegi yake nje na kuamua kuita bajaji na kuamua kurudi nyumbani kwake kwani tayari alikuwa alishahamia nyumbani hapo madale.

Kimnana hatokuwa mwanake wa kwanza kuwa na uhusiano na diamond na kufanyiwa udhalilishaji huu kama inavyodaiwa.

Kimnana ambae anajihusisha na mambo ya video vixen ameweza kuvuma kwa muda mchache aliokuwa na Diamond na gafla imekuwa kimya.

Comments

Popular posts from this blog

UCHAGUZI KENYA: Mchezaji wa zamani wa Inter Milan, McDonald Mariga kutoana jasho na Prezzo

Siri Yafichuka, Prince Dube Anakwenda Yanga Kuziba Nafasi ya Fiston Mayele