Posts

Computer Repair 2018

Image
Government Pc repair with Technician Nyandiche Jr 2018

Video: Aslay na Nay wa Mitego walivyopigana vikumbo Burundi

Msanii wa muziki wa hip hop, Nay wa Mitego pamoja na muimbaji Aslay wameonekana kufanya vizuri katika show zao mbili tofauti zilizofanyika weekend hii nchini Burundi. Kila mmoja akionekana kufanya vizuri zaidi baada ya kupost clips za video za shows. Aslay alifanya show yake hiyo Bunyenzi Bunjumbura siku ya Jumamosi na kufanikiwa kwa kiasi kikubwa kwani mashabiki waliojitokeza ukumbini hapo walionekana kumshangilia kwa nguvu huku wengine wakilia kuonyesha ishara ya upendo. “Abarundi mwarakoze kurukundo mwatweretse 🇧🇮🇧🇮🇧🇮,” aliandika Aslay. Naye rapa Nay wa Mitego alikuwa nchini humo siku hiyo hiyo ya Jumamosi, na yeye alionyesha makeke yake mbele ya maelfu ya mashabiki waliojitokeza katika show huyo. Rapa huyo amedai hakuwai kuwaza kama anaweza kupata mashabiki wangi nchini Burundi “BURUNDI BURUNDI BURUNDI. Mungu Awabaliki Sijawai Kuwaza Wala Kufikilia Kama Napendwa Kiasi Iki🙏🏿 Nje Ya Nyumbani Kiasi Cha Kujaza Uwanja. #OneManArmyShow✊🏿 Hakuna Wimbo Wangu W...

Nancy Arthur Nyandiche Mtoto wakike Ambae amejipanga Vilivyo kuweza kukabiliana na masomo ya tekinolojia ya kompyuta

Image
Amezaliwa miaka mitano iliyopita Baba yake mzazi Anaitwa Arthur Raphael Nyandiche ndie role Model wake katika fani ya kompyuta ambae anamfanya awe mmoja kati ya mabinti wanaotamani kuwa na taaluma ya computer science hapo baadae nakwakufanya hayo sasa nancy ameweza kumiliki wavuti yake ambayo anaweza kusambaza habari mbalimbali kwa wateja wake pia ameadhimia kufanya biashara kwanjia ya mtandao huyo ndiye Nancy Arthur Nyandiche Mtoto ambae anatamani kutimiza ndoto zake kwakuanzia mikoa ya kusini akiwa na miaka michache leo anaendesha wavuti yake kama mpango anzilishi wa safari yake ya maisha hapo baadae pia anaomba watoto wenzake kuwa kama yeye ilikuinua tekinolojia ya tanzania kwa maendeleo ya nchi yetu

MANGE KIMAMBI SIYO MZALENDO WA NCHI YETU BALI NI KIBARAKA WA NCHI NYINGINE HATUMUHITAJI

Image

Mange Kimambi: Mwanaharakati mwiba kwa serikali ya Magufuli

Haki miliki ya picha Instagram/Mange Kimambi Ikiwa ni zaidi ya miaka miwili sasa tangu Rais John Magufuli wa Tanzania aingie madarakani, rais huyo ameonesha kutokusita kukabiliana na wapinzani wake, kuanzia wanasiasa na hata viongozi wa dini. Rais Magufuli amedhibiti shughuli za kisiasa za wapinzani. Mikutano ya hadhara na maandamano ya kisiasa vyote vimezuiliwa, huku viongozi wote wa juu wa chama kikuu cha upinzani cha Chadema wakiwa wanakabiliwa na kesi mbalimbali mahakamani ikiwa ni pamoja na makosa ya kusababisha vurugu. Watu 7 wakamatwa kuhusiana na maandamano Tanzania Uingereza yatoa tahadhari kwa raia wake Tanzania Serikali ya Rais Magufuli, ambaye ni muumini mzuri wa kanisa Katoliki, imetishia kuzifutia usajili asasi zote za kidini ambazo aid...

Young Dee Autema Uongozi Wake...Adai Kwasasa Ana Kampuni yake

Image
Paka Rapper Young Dee kwa mara ya kwanza amesema kuwa amefungua Kampuni yake mwenyewe ambayo itasimamia kazi zake za sanaa na ameachana na Habari za kuwapa watu wengine wasimamie kazi zake za muziki. Exclusive Young Dee ameongeza kuwa Wiki ijayo ataachia wimbo wake mwenyewe na kwa mara ya kwanza hiyo itakuwa ndio itakuwa kazi ya kwanza kutoka kwenye Kampuni hiyo ambayo ataitambulisha rasmi kwa

Seebait.com 2018SeeBait Kauli ya Kubenea Kuhusu kujiunga CCM

Image
MBUNGE wa Ubungo, Saed Kubenea (Chadema) amefunguka kuhusu taarifa zinazodai yuko mbioni kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM). Tangu mwaka jana, wimbi la viongozi, wabunge na madiwani wa upinzani kujiuzulu nafasi zao na kujiunga na CCM lilipoanza, Kubenea amekuwa akihusishwa na mpango wa kuihama  Chadema na kujiunga na chama tawala. Juzi aliandika ujumbe kwenye ukurasa wake wa mtandao wa Instagram akitetea uamuzi wa viongozi wa upinzani kujiuzulu nafasi zao na kujiunga na CCM. Ujumbe huo wa mbunge huyo anayefahamika kwa kutoa habari nyingi za msingi wa makatazo na machukio dhidi ya watu walio mafisadi nchini akiwa mwandishi wa habari, ulisambaa kwa kasi kwenye mitandao ya kijamii na kuibua mjadala kutokana na kuhusishwa kwake kwa muda mrefu kujiunga na chama tawala. Ujumbe huo ulisomeka: "Si wote wanaohama wamenunuliwa, ingawa ni kweli kuwa wapo baadhi ya waliohama wamenunuliwa. Kuna wengine wamehama kutokana na kuwapo migogoro, chuki na ubaguzi katika maeneo...