Producer Manecky afunguka kwa uchungu “hakuna wa kumfananisha na Pancho” (+Video)

NancyTheDreamtz
Mwandaaji wa muziki kutoka Tanzania Manecky amefunguka juu ya ukaribu wake na aliyekuwa producer mwenzake aliyeaga dunia maeneo ya Mbudya wakati anaogelea Pancho Latino. Maneckey amesema ” Pancho alikuwa na vitu adimu sana ukimfananisha na Maproducer wa sasa”



Comments

Popular posts from this blog

Top Ten ya Makabila Yaliyotoa Wasomi Wengi Nchini Tanzania

Waziri Lugola Awaondoa Madarakani Maafisa Wa NIDA Mkoa Wa Ruvuma